Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 672
Mkuu, nimeona JamiiForums inatumia XenForo forum software. VerticalScope imeanza kutumika lini kama utakuwa unafahamu kiongozi?Hizi forums huwa ni software unanunua leseni kuzitumia. JF mwanzoni ilikuwa inatumia vbulletin, miaka kama minne hivi iliyopita wakabadilisha na kutumia VerticalScope (hii ya sasa).
Nadhani hii ya sasa ni Xenforo...Hizi forums huwa ni software unanunua leseni kuzitumia. JF mwanzoni ilikuwa inatumia vbulletin, miaka kama minne hivi iliyopita wakabadilisha na kutumia VerticalScope (hii ya sasa).
Mkuu mbona tabs nyingi mnoo kufungua hiyo browser siinakuwa nzito?Mkuu, nimeona JamiiForums inatumia XenForo forum software. VerticalScope imeanza kutumika lini kama utakuwa unafahamu kiongozi?
View attachment 1568363
Mkuu, nimeona JamiiForums inatumia XenForo forum software. VerticalScope imeanza kutumika lini kama utakuwa unafahamu kiongozi?
Mko sahihi, nilichemsha hapo.Nadhani hii ya sasa ni Xenforo...
Hapo kwenye vbulletin na vertical scope sasa ndo umeniachaHizi forums huwa ni software unanunua leseni kuzitumia. JF mwanzoni ilikuwa inatumia vbulletin, miaka kama minne hivi iliyopita wakabadilisha na kutumia VerticalScope (hii ya sasa).
Kilooza, ilowoola pale karibu na mawoolo unapoenda Ihanga. Au kwa tcha Sharo na magwadaπ hongera mtoto wa nchi ya Maziwa na Asali. Njoo PM mkuuEt waungwana wataalam wa IT, Kuna yeyote anayewajua maprogrammer waliocode jamiiforums?
Tuwajue ili tuwape credit kwa kudevelop platform hii adhimu sana kwa waTZ!
Ni software tuu kama vile Windows (Experience, Vista, 7, 8, 10 et). Zote hizo una nunua leseni ya kutumia ili utumie kwenye personal computer yako. Tofauti yake, hizi za JF unaweka kwenye server.Hapo kwenye vbulletin na vertical scope sasa ndo umeniacha
Ahhh wametumia XenForo tuu ni kama CMSEt waungwana wataalam wa IT, Kuna yeyote anayewajua maprogrammer waliocode jamiiforums?
Tuwajue ili tuwape credit kwa kudevelop platform hii adhimu sana kwa waTZ!
Hata si nzito, nina_browse kawaida tu. >Google ChromeMkuu mbona tabs nyingi mnoo kufungua hiyo browser siinakuwa nzito?
Okay, unawajua?Ahhh wametumia XenForo tuu ni kama CMS
yeah man nishaitumia, ni kui upload tuu kwenye server yako and make few changes and boom you got forum but XenForo ni proprietary software . you can find it nulled but tumia mybb ipo fresh and freeOkay, unawajua?
Server za JF ambazo wanasema ziko Austria ππNi software tuu kama vile Windows (Experience, Vista, 7, 8, 10 et). Zote hizo una nunua leseni ya kutumia ili utumie kwenye personal computer yako. Tofauti yake, hizi za JF unaweka kwenye server.
ππππ Nilikuwa sijakuona mwanangu, mambo vipi asee. Kitambo sana ujue.Kilooza, ilowoola pale karibu na mawoolo unapoenda Ihanga. Au kwa tcha Sharo na magwadaπ hongera mtoto wa nchi ya Maziwa na Asali. Njoo PM mkuu