Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Na unakuta hawatuletei sadaka zao ili kuchangia huduma tupate japo pikipiki kusaidia huduma vijijini, wanawaendea matapeliWANAWAKE NI WAHANGA SANA WA HIZI IMANI MPYA.WANAUMIA SANA WAKUU.
Duh alii shika shika akaiacha huyo ni pepo dada yangu wewe unaambiwa toa nguo unatoa kweli kweli pole
Nyie ndio wale wale bhana hamna kitu,nina rafiki yangu mmoja na yy ameokoka anashinda kanisani daily,kuna siku nilimwalika mahali tupeane ushauri nikamwuliza una mpango gani una familia lkn 24/7 upo kanisani hao watt unawaandalia maisha gan,alichonijibu "mm na familia yangu tunakula madhabahuni kwa bwana sikutaka kuongea tena niliamini wachungaji wa kilokole wote wapo kibiashara na wanawake wengi ndio wahangaNa unakuta hawatuletei sadaka zao ili kuchangia huduma tupate japo pikipiki kusaidia huduma vijijini, wanawaendea matapeli
Mkuu sisi kanisa letu ni la pili kwa ukubwa duniani. Sio makanisa ya vichochoroni. Kwetu tuna utaratibu maalumu wa utoaji huduma kwa ngazi zote za kanisaNyie ndio wale wale bhana hamna kitu,nina rafiki yangu mmoja na yy ameokoka anashinda kanisani daily,kuna siku nilimwalika mahali tupeane ushauri nikamwuliza una mpango gani una familia lkn 24/7 upo kanisani hao watt unawaandalia maisha gan,alichonijibu "mm na familia yangu tunakula madhabahuni kwa bwana sikutaka kuongea tena niliamini wachungaji wa kilokole wote wapo kibiashara na wanawake wengi ndio wahanga
Mm sijui bhana ila kwa upande dini ninayoitambua ni RC ndio imani yangu ipo hapo then Islam,Lutheran na Sabato hizo nyingine no kwa kweli,hata watu wangu wa karibu nimewaambia ukisikia nimebadili dini basi nimeenda Islam si kwinginepoMkuu sisi kanisa letu ni la pili kwa ukubwa duniani. Sio makanisa ya vichochoroni. Kwetu tuna utaratibu maalumu wa utoaji huduma kwa ngazi zote za kanisa