Tuwasaidie ndugu zetu wa Egypt mali aliyoiba Mubaraka irejeshwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwasaidie ndugu zetu wa Egypt mali aliyoiba Mubaraka irejeshwe.

Discussion in 'International Forum' started by MAMMAMIA, Feb 16, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Avaaz .org. ni vuguvugu la kutetea haki za binadamu na demokrasia duniani kote. Mara hii linakusudia kukusanya saini kuziwasilisha kwa serikali za ulimwenguni kote ambako inasemekana Mubarak amejikusanyia mali za kuiba kutoka kwa nchi yake.
  Saini yako ni muhimu, inahitajika. Jiunge na Avaaz.org na tuma saini yako.
  Fungua link hii, chagua lugha yako na jiandikishe.
  http://www.avaaz.org/es/mubaraks_fortune/97.php?cl_tta_sign=de7b3452a0f6cfae564a9b5b24e78601
   
Loading...