Tuwapende Walemavu wa Ngozi

Watapendwa tu mkuu hasa uchaguzi mkuu ukiisha itakuwa salama kwao, iko miezi saba ya shida mbele yao, ila Mungu anajua majaliwa yao na kwa vile wanapata shida hizi za kupokea matokeo ya tamaa za watu atawahuisha katika ulimwengu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…