Tuwakumbuke waliokuwa watangazaji redio Tanzania hatimae TBC

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wafuataonni baadhi ya watangazaji tokavenzi ya Redio Tanzania mpaka TBC
1.Abdul Masoud
2.Juma Ngondae
3.Betty Chalamila
4.Juma Nkamia
 
Aloycia Maneno
Deborah Mwenda
Hemed&Omari Jongo
Julius Nyaisanga
Charles Hilary
David Wakati
Ben Kiko
Shida Waziri
Hendric Libuda
Michael Katembo
Eda Sanga
Daa!Ni wengi nimesahau lakini walizimudu vyema kazi zao.
 
Masood masood manji Wa muziki ni shida huyu Mzee sijawahi kuona sijui kama alikuwepo tangu nyuma ila ananikosha sana sauti,style,ujuzi na kuujua muziki kwa mapana na urefu ndivyo vinamjengea upekee Wa hali ya juu kabisa .
 
Masoud masoud manju wa muziki...haha kumbe kunawatu wanamuelewa vyema!

Mimi alinifanya niufatirie kwa kina muziki ule!
Kunasiku alikuwa anamchambua Mbaraka Mwinshehe aisee nilimupa heshima yake yupo vyema!
 
Matha ngwiraa redio tanzania mbeya
Idi rashid mchata
Enock ngombale club raha leo shooooo
Esha mhidini rtd tanga
Ben kiko
Tumbo risasi
Suleiman mhogora
 
Aloycia Maneno
Deborah Mwenda
Hemed&Omari Jongo
Julius Nyaisanga
Charles Hilary
David Wakati
Ben Kiko
Shida Waziri
Hendric Libuda
Michael Katembo
Eda Sanga
Daa!Ni wengi nimesahau lakini walizimudu vyema kazi zao.
Kida/Shida Waziri, huyu hakuwa Mwanamuziki na Mama Mtoto wa Marehemu Hemed Maneti?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom