H hamidshaban JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 262 Reaction score 32 Sep 17, 2011 #1 jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje!
jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje!
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Sep 17, 2011 #2 hamidshaban said: jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje! Click to expand... hilo ndo linakufanya uwakimbie? mbona ni tatizo la kawaida kwenye electronics? hata kwenye mabenki sometimes network huwa inakata, je tuwakimbie pia? pole kwa yaliyokupata but vijicent vyako viko salama kabisa,labda ungevichukua ungetumia vibaya
hamidshaban said: jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje! Click to expand... hilo ndo linakufanya uwakimbie? mbona ni tatizo la kawaida kwenye electronics? hata kwenye mabenki sometimes network huwa inakata, je tuwakimbie pia? pole kwa yaliyokupata but vijicent vyako viko salama kabisa,labda ungevichukua ungetumia vibaya