Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
ha ha ha ha
ha ha ha ha haUmeongea point sana, ila nao wajifunze kuwa romantic.... huwa tunauza mechi za ugenini kirahisi kama walivyotufanyia Uganda kwa sababu nyumbani hakunogi.
Bora wewe umeona umeongea haya...Kuna wanaume wanashinda humu kutwa kuponda wanawake,, yaani wao huwa wanaona mabaya tu ,,,mazuri na magumu wanayafanya wanawake huwa hawayaoniWake zetu wanafanya kazi kubwa kweli katika kutunza familia;watoto,wakwe,mtoto mkubwa(mume) n.k. Wengine walichekwa na marafiki zao kwa mkeo kukubali kuishi na wewe.
Yeye ndio baba,mama,kaka,dada n.k wewe upatapo matatizo.
Kwa hiyo tuwaheshimu na kuwapenda wake zetu,inapowezekana kula bata tule nao pamoja.
Wapo wengine pia wanaosababisha changamoto ndani ya familia zao.Bora wewe umeona umeongea haya...Kuna wanaume wanashinda humu kutwa kuponda wanawake,, yaani wao huwa wanaona mabaya tu ,,,mazuri na magumu wanayafanya wanawake huwa hawayaoni
On behalf of mamas nashukuru
Wanaume kuweni na tabia ya kuangalia mazuri pia yaliyopo kwa wanawake sio kutwa kucha mmekomaa tu na mistakes zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unadumisha mkeshaOk ngoja waje wajuzi wa NDOA.
Huku nilipo ni Mchana Mzee Baba.Mkuu naona unadumisha mkesha
Sawa sawa,kwa wafanyabiashara ndio muda mzuri wa kuwasiliana na ma-supplier wa hukoHuku nilipo ni Mchana Mzee Baba.
Sikatai ,hao pia wapo.lkn Kuna watu humu wao kila siku wako negative kwa wadada.. hawajawahi kuona mazuri,,kila siku wanaongea madhaifu yaoWapo wengine pia wanaosababisha changamoto ndani ya familia zao.
Ongeza nyama kidogo..... hapo pa kuwa romanti zaidi..... Tupatie shule zaidi.Umeongea point sana, ila nao wajifunze kuwa romantic.... huwa tunauza mechi za ugenini kirahisi kama walivyotufanyia Uganda kwa sababu nyumbani hakunogi.
Umegusa points za maana kabisa kwa ujenzi na uboreshaji wa familia.Wake zetu wanafanya kazi kubwa kweli katika kutunza familia;watoto,wakwe,mtoto mkubwa(mume) n.k. Wengine walichekwa na marafiki zao kwa mkeo kukubali kuishi na wewe.
Yeye ndio baba,mama,kaka,dada n.k wewe upatapo matatizo.
Kwa hiyo tuwaheshimu na kuwapenda wake zetu,inapowezekana kula bata tule nao pamoja.
Wala hawatakuja hapa,,wanapenda nyuzi za kukandamiza wanawake,huko ndo walikojaaWanaume wote mfanyie kazi huu ujumbe ni mzuri sana kwenu.