Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Hii muvi sasa iwe na mwisho imekuwa ndeeefu kama ya kihindi
Km tamthilia ya isidingo
Haaa mamito leo kunani ? Mbona mapema ivo?
Ha ha haaaaaaaa. Usingizi umeruka. Daku limenipitaaaaa. 😛
Hii muvi sasa iwe na mwisho imekuwa ndeeefu kama ya kihindi
Mi nasubiria kisanduku cheusi ili kujua nani mtata!
Wewe unataka ndege ianguke ujuwe ni nini chanzo cha hii ndege kuanguka? Kazi kweli ipo hapo...............Mi nasubiria kisanduku cheusi ili kujua nani mtata!