Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Kwa Waislam hakuna Nabii zaidi ya Nabii Muhammad amani ya Mungu iwe pamoja nae. Kwa Wakristo manabii wapo wengi kwa hivi sasa.Kwa waislam huyu nabii angetandikwa bakora hapo hapo
Duniani kunamambo na mambo yenyewe ndo kama haya sasa alafu hapo kuna watu unakuta wanaelimu zao tena nzuri tu wanafanyishwa mambo kama haya kazi kwelikweli.
Kila kitu imani kama kweli imani hii kaja nayo na kutufundisha Bwana Yesu Kristo mimi sitoweza kuifuata kabisa kwanini nile majani? Ng'ombe na mbuzi watakula nini?Kuna mambo ya kijinga sana yanaendelea humu duniani
Kila kitu imani kam kweli imani hii kaja kutufundisha Bwana yesu mimi sitoweza kuifuata kabisa kwanini nile majani? na Ng'ombe na mbuzi atakuala nini?
Kila kitu imani kama kweli imani hii kaja nayo na kutufundisha Bwana Yesu Kristo mimi sitoweza kuifuata kabisa kwanini nile majani? Ng'ombe na mbuzi watakula nini?
Mdada akila majani ambayo huduma hiyo wanasema ni chakula kutoka mbinguni mwe!