Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
MziziMkavu naona una utani na FaizaFoxy
Kwanini?
Hujambo bibie FaizaFoxy??Hahahahaaa,najua ikitajwa Zanzibar lazima pachimbike??Nilitaka kukusikia dadangu,nimekumiss!
Dah! laiti unaglijuwa kuwa mimi si Mzanzibari usingefikiria hivyo, kuwa anantania" sasa kwa kukujuza tu, mimi ni Mtanganyika, kwetu mtaa wa Lumumba na Udoe, Dar., nyumba yetu na Makao Makuu Ya CCM ya Mkoa ni ubavu kwa ubavu, kwa sasa ni ghorofa kubwa sana, kwa sasa hapo ni makazi yangu nikija mjini tu, nimeamua kuishi Kijijini kwetu asili na fasili, Mkuranga, na ni Mkulima wa uhakika.
Fujo la mjini nimewaachia wakuja.
Usishangae nikikufahamisha kuwa MziziMkavu ndiye Mzanzibari tena zao za ile forced marriage ya Karume.
Laiti ningelikuwa ni Mzanzibar ningelishukuru pia lakini mimi sio MZanzibar mimi ni Chotara wa KiBulıshi wa Kaole Wilaya ya Bwagamoyo . ila nimezaliwa Dares-Salaam Muembe chai Al-Maarufu Msikiti wa Muembe Chai mimi hapo ni Mtu Maarufu hapo Enzi za miaka 1980 mpaka 1990 nilipoondoka Bongo FaizaFoxy mama yangu anatoka Muasani huko mkuranga Mzaramo wa Muasani. U-Zanzibar sina kabisa yakhe.Dah! laiti unaglijuwa kuwa mimi si Mzanzibari usingefikiria hivyo, kuwa anantania" sasa kwa kukujuza tu, mimi ni Mtanganyika, kwetu mtaa wa Lumumba na Udoe, Dar., nyumba yetu na Makao Makuu Ya CCM ya Mkoa ni ubavu kwa ubavu, kwa sasa ni ghorofa kubwa sana, kwa sasa hapo ni makazi yangu nikija mjini tu, nimeamua kuishi Kijijini kwetu asili na fasili, Mkuranga, na ni Mkulima wa uhakika.
Fujo la mjini nimewaachia wakuja.
Usishangae nikikufahamisha kuwa MziziMkavu ndiye Mzanzibari tena zao za ile forced marriage ya Karume.
Mimi Sina utani na FaizaFoxy CCM Damu.MziziMkavu naona una utani na FaizaFoxy
Wewe Unazungumzia Wa-Zaznzibar waliopo huko Ubongo angalia hao Wachina jinsi walivyokuwa wengi kuliko hao Wa-Zanzibar wa Ubungo?Mkuu sungura1980Ndio,Zanzibar yote itasikia!Hahahaaaaa,hivi jimbo la Ubongo wakazi wake ni zaidi ya wakazi wa Zanzibar ehee??
Laiti ningelikuwa ni Mzanzibar ningelishukuru pia lakini mimi sio MZanzibar mimi ni Chotara wa KiBulıshi wa Kaole Wilaya ya Bwagamoyo . ila nimezaliwa Dares-Salaam Muembe chai Al-Maarufu Msikiti wa Muembe Chai mimi hapo ni Mtu Maarufu hapo Enzi za miaka 1980 mpaka 1990 nilipoondoka Bongo FaizaFoxy mama yangu anatoka Muasani huko mkuranga Mzaramo wa Muasani. U-Zanzibar sina kabisa yakhe.
Wewe Unazungumzia Wa-Zaznzibar waliopo huko Ubongo angalia hao Wachina jinsi walivyokuwa wengi kuliko hao Wa-Zanzibar wa Ubungo?Mkuu sungura1980
Shangazi yangu Bi Fatuma Bachu sijuwi mpaka leo kama atakuwa yupo hai au amefariki miaka mingi sijakwenda Mjini Kaole kwa wavuvi wa samaki khahahhaah nimekumbuka nyumbani ama kweli mkata kwao ni mtumwa FaizaFoxyMsalimie Mzee Nakioze wa Kaole. Kama Bulushi wa Kaole basi ndio hukohuko, wote wale wametokea Unguja Saateni ndio wakaja Bagamoyo.
Shangazi yangu Bi Fatuma Bachu sijuwi mpaka leo kama atakuwa yupo hai au amefariki miaka mingi sijakwenda Mjini Kaole kwa wavuvi wa samaki khahahhaah nimekumbuka nyumbani ama kweli mkata kwao ni mtumwa FaizaFoxy
Wachina mukijiunga nao munawapelekea Madawa ya kulevya bora wao Wachina waje huko bongo kuliiko nyie Wabongo muende kwao mutakwenda kuwapelekea Madawa ya kulevya burew sungura1980 .Nimesikia Eti WA-Nigeria wamejaa hapo nyumbani? ni kweli lakini?Kweli kabisa MziziMkavu nilikuwa nawaza hivyo hivyo,kwamba kwa kuwa Wachina wako wengi sana Tanzania sasa kuliko.idadi ya Wanzanzibar basi Tanzania pia iangalie fursa ya kufanya Muungano na jamhuri ya watu wa China ili nasi tunafaike kwa kwenda kwao,hahahaaaaa
Wewe ni mtu wa ajabu sana, hata shangazi lako hujui kama amekufa au yuko hai? wewe uko hai?