Tuwachore

Magamba walitaka wapige 10% yao basi ; hawajali kama yanalima au yako juu ya mawe!!
 
Hiyo ilikuwa deal ya watu, chezea magamba aka Intrahamwe wewe!!!!!

Tiba
 
Ooyooo na kiwanda cha zana za kilimo ndo ishakuwa gofu la watumwa kama ya bagamoyo yalivo na bado tuna mkakati wa sera ya mapinduzi ya kilimo ya nane nane kule mkoa wa kasoro bahari na babu wa utepe kishakuja na mkasi mpya wa Degitol kutoka kwa mao se tung uchina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…