TUWACHORe

Wanaodai Ipad hawao hawatakubali kuijadili haraka iishe zaidi wataongezwa muda hadi julai.
 
Halafu itafuata Gallaxy ili wawasiliane na mwenyekiti maana sauti zinakauka!
 
kila mjumbe anataka awe na mlinzi wake, mwanasheria wake, daktari wake, gari yake, Laptop yake, Ipad yake, digital camera yake lazima wang'ang'anie hadi kieleweke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…