Tuwachore

Hakika Mungu anaweza kukuponya,pale ambapo binadamu hawezi kuamini!
 
hii ni balaa sasa maiyi yupo hai au deiwaka..
 
Kama ni kuwachora tu sawa ila katika hali ya kawaida hapo hatoki
 
dah jamaa katoka safi kabisa na suti imenyoka ready kuingia kwenye kikao cha madiwani.
 
Hakika Mungu anaweza kukuponya,pale ambapo binadamu hawezi kuamini!

Acheni hii hizo hili ni dongo kukumbushia iliyowahi tokea na ilikua inamhusu mwana“sihasa" flani hivi!!!!!!hivi ile ishu ilifikia wapi wakuu?
 
Napenda jinsi mnavyobishana juu ya nini hasa ujumbe wa msanii huyu. Ndo maana wenzetu wanasema " a picture is worth a thousands words" kila mtu anaeleweka kivyake, ingawa kuna jamaa jana alichambua / alikisia jamaa aliimanisha nini mimi nimeikubali tafakari yake.
 
Acheni hii hizo hili ni dongo kukumbushia iliyowahi tokea na ilikua inamhusu mwana"sihasa" flani hivi!!!!!!hivi ile ishu ilifikia wapi wakuu?
Jamaa yupo anapeta tu mtaani,alilipa faini ya milioni kadhaa tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…