Hata mimi ndo nashangaa aisee Red Scorpion. Halafu ananichanganya zaidi kwa kusema 'there is trouble ahead. Huyu Membe miye simwelewi hata kidogo. Halafu hiyo CA wala sijaipata!
Ha ha ha ila Kiongozi MziziMkavu umemchanganya Hiyo Tuwachore tu ni ya Masoud Kipanya yule hawezi kufikiwa na mtu yeyote mchora katuni bongo kwa upeo wa kuchora!!