Tuuze nchi hii tugawane pesa yaishe

Tuuze nchi hii tugawane pesa yaishe

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,080
Wakuu mie naona hatua tuliyofikia bora tukubaliane kuuza nchi hii tugawane pesa yaishe maana hawa watawala wanaanza kutuzidi ujanja. Wameuza kila kitu na sasa wanatamani kutuuza Tanganyika kwa zanzibar na tusipokuwa makini watauza nchi yetu Tanganyika na watatuuza na sisi tukiwa ndani. Ni afadhali tusiuzwe bali tushinikize nchi iuzwe na woooote kila mtu apewe mgao wake. No way.
Mie nchi ikishauzwa nakwenda Sudan.
 
viroba vya mchana bila kula madhara yake ndio kama haya.
 
mh...Ila tungewauzia Wachina kweli, maana wanainyemelea sana, tembo wamewamaliza, tuwauzie kwa madolari kadhaa tu, tugawane hizo pesa, namni kwa utajiri wa Tanzania na position yake ilivyokaa vizuri kijiographia, tukigawana mapato ya mauzo kila Mtanzania ataondoka na kitu kama bilioni mbili hivi
 
Back
Top Bottom