Tuunge mkono kukemea mafundisho potofu ya dini

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686

Chanzo: MWANANCHI
 
Itakuwa Hawa masheikh wamenukiliwa vibaya,ikiwa ni masheikh kutoka Oman,Oman ni chi iliyoendelea kielimu sana,ina wasomi wa vyuo vya juu,wanaume na wanawake.Wasomi wao wapo vyuo mbali mbali duniani.Elimu ni bure kuanzia chini mpaka elimu ya juu.
 
nakuunga mkono mtoa mada hata huku kiwalani watu wa.usalama waje kufanya uchunguzi kwenye moja ya nyumba za ibada.
 
Wajitoe2 wasome msahafu pekee na namna ya kwenda ahera kwa njia ya Jihad, hii elimu dunia ni ya kimagharibi na watu wa magharibi ni makafuri, jitoeni tuifaidi vizuri nchi yetu
 
Serikali yetu imelala itaamka kampeni mwakani
Hayo ni mambo muhimu lakini ufuatiliaji ni zero
 
No kweli wanajamii mafundisho yasiyo tupeleka kwenye umoja na mshikamano ni hatari.kama kareti kwenye nyumba za ibada ni za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…