Wazo murua sana hili..
Tafuta wenzako wenye nia na lego kama lwa kwako halafu mnaweza kununua kila mtu eka mbili (sijui bei) ina maana kama mpo kumi hizo ni eka 20 sasa msibubali ziwe mbali mbali hakikisheni ni eneo moja.baada ya hapo wekeni mtaalam wa kupima ardhi pamoja na kuweka bara bara eneo lote tenga eneo la makazi na biashara na muwe na plan ya eneo lote kwa maaana ya kila kiwwanja mjue mnajenga nyumba ya aina gani.
Baada ya hapa mnaweza kuingia bank sasa wakawapa hela kwa ajili ya hio project mkitumia hilo eneo kama dhamana yenu kwao na mkishajenga hiyo nyumba zitaleta sura mpya kwa eneo husika sasa mnaweza kupangisha na kuuza nyumba au viwanja amabvo hamjajenga bado. kumbuka kila kitu kinawezekana mkiwa na nia thabiti ya kule muendako. kama hutojali unaweza kuweka bei na wengitu tujitasmini kama tunaweza pata hata tuekari tuwili TIA