JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,025
Ule Uzi wa malalamiko ya huyo mwanafunzi wa mbeya ulipowekwa hapa nilishauri malalamikaji aende PCCB HQ lifanyiwe kazi haraka kuna mtu mmoja hapa akajifanya mjuaji kwamba asipeleke malalamiko yatafanyiwa kazi kutokea hapa, hovyo kabisa kuna majitu yanadhani yanajua kila kitu lakini hayaelewi, sasa Leo waziri anataka ushahidi upelekwe, lazima tujue kulalamika tu hakutoshi kuchunguza na kupata ushahidi bila kuwepo mlalamikaje!Dada wa Mbeya, Lete ushahidi wa tuhuma zako maana ni nzito mnoo.
Pole sana mkuu, Uzi wako una kichwa cha habari kipi?Nilishaweka uzi wa tuhuma na watu wakafunguka ila JF mkaufutilia mbali
Ni kweli, panahitajika umakini hapa, tena sana, laa sivyo wanaume wanaweza wakawa waathirika wasio na hatia. I would advise anayeona hajatendewa haki awe anaenda mahakamani, mtuhumiwa akikutwa na hatia anachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za nchi na sheria za ajira yake.Mmmh, kuna watu watatumia hii kama mbinu ya kuwakomoa wabaya wao, ukimnyima mtu hela tu anatuma taarifa ya uingo juu yako, kuweni makini, na acheni kudemonise wanaume..
Baada ya kuona barua ya wizara ya afya, nikaja hapa kutafuta ule uzi wake, ila sijaupata sijui umefichwa wapi..Yule dokta intern wa mbeya hebu kuja pande hizi
Dada wa Mbeya, Lete ushahidi wa tuhuma zako maana ni nzito mnoo.
Yule dokta intern wa mbeya hebu kuja pande hizi
Ule Uzi wa malalamiko ya huyo mwanafunzi wa mbeya ulipowekwa hapa nilishauri malalamikaji aende pccb HQ lifanyiwe kazi haraka kuna mtu mmoja hapa akajifanya mjuaji kwamba asipeleke malalamiko yatafanyiwa kazi kutokea hapa, hovyo kabisa kuna majitu yanadhani yanajua kila kitu lakini hayaelewi, sasa Leo waziri anataka ushahidi upelekwe, lazima tujue kulalamika tu hakutoshi kuchunguza na kupata ushahidi bila kuwepo mlalamikaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuona barua ya wizara ya afya, nikaja hapa kutafuta ule uzi wake, ila sijaupata sijui umefichwa wapi..
Huo uzi upandishwe tuushereheshe zaidi
Wakuu samahani sana kama mlikwazika.uzi wa dada wa mbeya uliwekwa mpaka na majina ya wahusika mkaufuta, sasa sijui mnataka ushahidi gani? wa picha? au video?
Ni kweli, panahitajika umakini hapa, tena sana, laa sivyo wanaume wanaweza wakawa waathirika wasio na hatia. I would advise anayeona hajatendewa haki awe anaenda mahakamani, mtuhumiwa akikutwa na hatia anachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za nchi na sheria za ajira yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kama nchi tukiongozwa na kamanda mkuu tulishaacha kufuata sheria kiambo sanaNi kweli, panahitajika umakini hapa, tena sana, laa sivyo wanaume wanaweza wakawa waathirika wasio na hatia. I would advise anayeona hajatendewa haki awe anaenda mahakamani, mtuhumiwa akikutwa na hatia anachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za nchi na sheria za ajira yake.
Sent using Jamii Forums mobile app