Kikusya
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 277
- 389
Utakuta mtu biashara ya gesti wanaolala ni waswahili, lakini bango huko nje limeandikwa " Peice guest house" hakimanisha peace. Wengine utakuta JB HAIR SALOON badala ya salon. Wengine utakuta wameandika HALF LONDON LOGDE badala ya Lodge. Hivi ukitumia kiswahili wateja utakosa??? Ni lini tutapenda vyetu? UHURU TULIPATA LAKINI NINA WASIWASI HATUKUPATA UHURU KAMILI kama bado tupenda kutimia lugha za watu. Hivi ukiandika MAFINGA NYUMBA YA WAGENI utapata hasara kiasi gani?