Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, kozi ya ya Teknolojia ya Habari na Mifumo( Information Technology and System) inayotolewa Mzumbe Chuo kikuu, nina Gpa ya daraja la pili la juu (3.7), Mungu kasaidia sijawahi kuwa na kimeo (sup) kwa miaka yote
Kusudi langu kubwa ni kupata chance ya Kufundisha vyuo vya kati (certificate na diploma) kama Tutorial assistant, hivyo kama kuna dondoo ama njia ambayo inaweza kunisaidia kunipa wepesi wa kukamilisha ndoto yangu hii nitashukuru sana, niko tayari kwa chuo chochote kinachotambulika hapa nchini kwetu
Unajua hao Tutorial Assistant wanapatikanaje na inabidi wawe na sifa gani kielimu? Kama unakidhi mahitaji yote nadhani hatua inayofuata ni kuwasiliana na hivyo vyuo na kuona mchakato wao ukoje.

Oooh hapo nimeelewa, ila kwa vyuo vikuu hivi, Mzumbe, UDSM, SUA, MUHAS na ardhi, kuwa TA, lazima somo husika ambalo utafundisha uwe na B+ kupanda juu, no supp kwa somo lolote na uwe na GPA ya 3.8+,

acha Uongo Kama umemaliza kweli mzumbe kuna lecture anaitwa ............alikuwa na sup Kipindi anasoma na saizi ni lecture, Muhimu GPA iwe 3.8 full stop kupanda juu
Oooh hapo nimeelewa, ila kwa vyuo vikuu hivi, Mzumbe, UDSM, SUA, MUHAS na ardhi, kuwa TA, lazima somo husika ambalo utafundisha uwe na B+ kupanda juu, no supp kwa somo lolote na uwe na GPA ya 3.8+,
Muhimu ni GPA na ufaulu wa somo unalofundisha labda
Kama unaipenda sana kazi kamilisha ndoto yako kwa kujiongeza pia na postgraduate diploma in technical and vocational teacher education,hii kozi inatolewa na open University kwa ushirikiano na chuo cha ualimu wa vets MVTTC kilichopo morogoro,unaandaliwa kuwa tutor wa vyio vya kati au veta
Kozi ni miezi 12 na inatolewa kwa distance