asante mkuu nime - prospect position moja inahusu financa and administration so segment yoyote inayohusu financial management na admin/HR itakuwa better mimi binafsi sijawahi hata kuinoa kwa hiyo sijui chochote kabisa ila naamini ntaitwa kwenye interview kulingana na nilivyojipanga na wame generalize kuwa knowledge of SAP ERP is a must
Kama ni Finance na Administration ni 'module' ya 'Finance'. 'Finance' ina 'solutions' za ' Accounts Payable', 'Accounts Receivables', Accounting and Financial Reporting', Cash Flow monitoring' n.k. SAP ERP ni 'database software solution' kama zingine zozote na inatumiwa zaidi na Kampuni kubwa kubwa kwani usimamizi wake ni ghali sana. Hata mafunzo yake yanafanywa zaidi nje ya nchi hasa Afrika ya Kusini.Lakini kimsingi haina tofauti sana na 'database software solutions' nyingine.Kwa Tanzania unaweza kuwasiliana na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni kama Serengeti Breweries,TBL na Coca Cola kwani ndiyo wanazotumia zaidi.Unaweza kuangalia kwenye 'link' ya www.erp-training.info/ kwa usaidizi zaidi.