Tutong watoa basi model mpya D14

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
π—¬π—¨π—§π—’π—‘π—š π—­π—žπŸ²πŸ­πŸ―πŸ΅π——
Toleo jipya la basi kutoka Yutong kwa jina lingine linaitwa Yutong D14
Toleo hili limezinduliwa rasmi Tanzania tarehe15/03/2025.Baadhi ya sifa zake ni kama ifuatavyo

π——π—œπ— π—˜π—‘π—¦π—œπ—’π—‘
Β©Urefu wa bus ni 13.25M au 13,250mm
Β©Upana wa bus ni 2.6 M au 2,600 mm
Β©Kimo cha bus ni 3.86M au 3, 860 mm Urefu ikiwa haina AC Kimo ni 3.96 M au 3960 mm ikiwemo AC
Β©umbali Kati ya tairi za nyuma na mbele ni 6.8 M au 6800mm

π—¨π—­π—œπ—§π—’
Β©Uzito wa bus bila mzigo [curb weight ni 13500 kg]
Β©Uzito unaoruhusiwa [gross weight ni 18000kg]

𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔
Tenki la mafuta linachukua ujazo wa 400:L - 450 L au 750L

π—˜π—‘π—šπ—œπ—‘π—˜
Hutumia enjini za YUCHAI au CUMMINS kwa Tanzania huoendelea kutumia CUMMINS π—œπ—¦π—Ήπ—² 𝟯𝟰𝟬 𝟰𝟬 ikiwa na
8900 cc au 8.9L nguvu yake ikiwa [360 hp]
Euro ||| au |V kulingana na mkataba

Β©CUMMINS engine zingine ni
-- Cummins L360/Euro ii/8.9
-- Isle 370/Euro iii/8.88
-- Z10E410/Euro iii/9.92

Β©Gia boksi/Gearbox uhamisho wa kawaida wa kasi ni 6
--Fast 6DSX150T
--Fast 6DSX180T
--Fast 6DSX200T

π—¨π—¦π—”π—Ÿπ—”π— π—”
Β©inatumia mfumo wa breki wa umeme 𝗔𝗕𝗦
Β©Ina CCTV camera kwa usalama ndani ya BUS
Β©GPS kufuatilia bus
Β©Mfumo wa tahadhari kukumbusha dereva kuepusha ajali na vifaa Vinginevyo vya dharula wakati wa ajali

π—¦π—£π—˜π—˜π——
Mkimbio wa kasi Zaid 120km/h [source Deepseek]

π—¦π—œπ—§π—œ 𝗭𝗔 π—”π—•π—œπ—₯π—œπ—”
inakadiria kuchukua abiria kuanzia 55 kwenda juu
Mpangilio wa siti
2 BY 2 = 61 +1 +1
3 BY 2 = 75 +1 +1
2 BY 2 = 55 +1 +1
2 BY 2 = 51 +1 +1
mahitaji yay seats za Bussnes classes inawez range 35--49 seatsu(business class seats
vitu vya ziada ambavyo mteja akihitaji gharama zitaongezeka

π—©π—œπ—£π—˜π—‘π—šπ—˜π—Ÿπ—˜ 𝗩𝗬𝗔 π—­π—œπ—”π——π—”
β€’Mfumo wa hewa baridi (air conditioning) kwenye paa
β€’Uwezo wa kubeba mizigo: 6-8 mΒ³
β€’Chaguo: Skrini za LCD, vituo vya kuchaji USB, mfumo wa sauti (PA)

BEI yake inaenda 162,000 USD_CIF Dar es salaam port,gharama inaongezeka kulingana na mahitaji ya mteja, bei hiyo tajwa hapo juu ni bila ushuru.

SOURCE [VARIOUS SOURCES]



π˜Όπ™‡π™‡ π™π˜Όπ™‰π™•π˜Όπ™‰π™„π˜Ό π˜½π™π™Žπ™€π™Ž || 𝙆π™ͺπ™’π™—π™–π™©π™žπ™– π™¨π™–π™›π™–π™§π™ž πŸ«‚
 
Binafsi naona kama sifa ulizotaja niza kawaida tu kama mabasi mengine yaliyopo sokoni?
Nafikiri ungetaja tu zile sifa za nyongeza/zinazo tofautisha Yutong D14 na mabasi mengine yaliyopo sokoni ndio ingesaidia wasomaji
 
Kwa maelezo yako nimeona sehemu unasema yutong ujazo wake mafuta ni lita 400 Hadi 750.... Nasubir wajuzi wa haya mambo watuambie juu ya Scania inatumia ujazo gani kwenye mafuta
 
Technically issue hujagusia kwenye braking system wametumia Eddy current retarder kama desturi yao au wameboresha na kuja na Hydraulic retarder. Miguu ya mbele wametumia disc brake au drum brakes

Kwenye suspension system wameweka leaf spring au air ride.
 
Wachina soko la Tanzania wanajua hawabanwi kwenye safety features na wanunuzi hawana shida nazo. Kwa madereva wetu na njia zetu Hydraulic retarder ni muhimu sana na inatakiwa iwe lazima kwa basi yeyote inayoingia kubeba abiria nchini
 
Kwa maelezo yako nimeona sehemu unasema yutong ujazo wake mafuta ni lita 400 Hadi 750.... Nasubir wajuzi wa haya mambo watuambie juu ya Scania inatumia ujazo gani kwenye mafuta
Hizi ni tank capacity wanakupa option ya single tank ya 400L na reserve tank ya 350L jumla ndio 750L

Pia kuna option ya kuwa na tank 1 la 400L au 450L
 
Haya ni mambo ya Scania mkuu
 
Haya ni mambo ya Scania mkuu
Mchina nchi za Ulaya kabanwa na standard kila basi anayoingiza lazima iwe na safety standards walizoweka. Huku Africa ukitaka hizo anakuwekea extra cost.

Kwa madereva wetu hawa kutegemea foot brake na wanavyokimbia kimbia sio salama. Retarder iliyopo kwa basi ni Eddy Current hii sio efficiency kwenye nyakati za maji au mvua na saizi Retarder bora na yenye ufanisi ni Hydraulic retarder chini ya 60kph ufanisi ni mkubwa sana. Hiyo eddy Current retarder ni sawa na stop engine iliyochangamka ufanisi upo ukiwa chini ya 25kph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…