Hivi Tanzania hakuna habari za kimaendeleo bila siasa maana kila siku ni wanasiasa wanafanya hivi na vile. Maendeleo yetu hatuwezi kutegemea serikali pekee je biashara zinaendeleaje, je wana ajiri, je tunashindana vipi kama nchi kwenye technologia ....