Tutoane ushamba kidogo

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,433
Reaction score
191,756
Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
 
Unatumiwa message kama hii

[emoji14] Accept this "BEST PIC CHALLENGE"

: Send me your best pic
[emoji14]Then I'll post it on my status update saying "His/her best pic[emoji14]

: And forward this message to all your friends including me if I am your friend
: At the end you will get an amazing picture collection of your Friends.
P.S.
 
Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
Tembelea status za whatsapp utaelewa nilichouliza
atakayeelewa naomba ani tagi tafadhali
Mkuu na wewe iga mambo ya vijana
Namimi nimetumiwa nimeona nikaushe tu mana sijaielewa.
Jamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.
 
πŸ˜€πŸ˜€ Labda watakuwa ni wahenga hahahah
 
Mi jamani sielewi maana ya DπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ,na marinda...huwa naona aibu kuuliza msaada
 
Marinda ni ile mikunjo mikunjo elastic material iliyoko kwenye sehemu ya haja Kubwa. Hivi vitu ndivyo vinayozuia tusijambe jambe na kunya kunya hovyo kama bata. Hope nimekujibu vizuri
 
atakayeelewa naomba ani tagi tafadhali

Yani mkuu watu uliokuwa nao ww whtsap ni sawa na tuliokuwa nao sisi?!

Namimi nimetumiwa nimeona nikaushe tu mana sijaielewa.

Mkuu na wewe iga mambo ya vijana

Jamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.

πŸ˜€πŸ˜€ Labda watakuwa ni wahenga hahahah
Hamna namna itabidi uige tu
 
Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
Nina mda mrefu sijajiunga kifurushi cha internet. Siku nikijiunga ntakwambia ni nini hicho.
 
Jamani tushakuwa wahenga...hayo mambo ya vijana. Mimi wala sijatumiwa hio kitu nahisi watu nilionao kwenye phonebook yangu wote wahenga kama mimi.
kweli kabisa mkuu maana mi ata nilikuwa sielewi hiyo challenge
 
Watoto wa vyuo ndo wana swaga hizi nina wadogo zangu walinitumia hizo sms nikajua lbd wanataka niwaweke whatsup profile na mimi huyo nikawaambia wanitumie pic zao, Jana ndo nakuja kujua dhumuni lao baada ya kupitia whatsup status zao nilijiona kumbe nimekuwa muhenga sasa loh
 
Mmhuuu. Mie ndio mmeniacha kabisaaaa. Mhenga by real [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…