Tuthamini ndoto zao

Tuthamini ndoto zao

kitukuuu

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
25
Reaction score
9
Ndugu zangu kaka na dada, mama na baba pia tunatambua kuwa wanafunzi wengi wameshindwa kuendelea na masomo yao kutokana na kukosa uwezo wa kuchangia ufanikishaji wa elimu yao ( ada) kutokana na uwezo wa familia zao, kubwa zaidi serikali kushindwa kuwapa mikopo. Ili vijana hawa waweze kutimiza ndoto zao, wanatakiwa Kurd vyuoni na kuendelea na masomo yao. Kwa pamoja na wingi tukihamasishana humu humu jf tumuunge mkono mama yetu ANNA MGWIRA kwa kuichukua hii ishu seriously
 
Back
Top Bottom