johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
Baada ya mafanikio makubwa kwenye Harambee ya CCM pale Mlimani City jana ni wazi Mjumbe wa Tume ya Warioba ndugu Polepole alilala na viatu jana.
Tutegemee Press ya ghafla
Ahsanteni sana 😄✔️
Tutegemee Press ya ghafla
Ahsanteni sana 😄✔️