Tutegemee nini kipya kutoka kwa CCM?

Tutegemee nini kipya kutoka kwa CCM?

Shwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
284
Reaction score
38
Nilicho kiona mpaka sasa ni mwenyekiti wa chama cha ccm akimwacha mgombea wao akiswampa pekeee. na hiliali mwaka 2005 mwenyekiti alipewa kampani na mkapa.

Je kweli wasemavyo watu kila kitu kinamwisho na huu ndo mwisho wa hiki chama kilicho tawala kama ndiyo mama wa vyama wa Tanzania?

ukibaki ccm majeraha uliyoyapata hayata pona ndani ya miaka 5.na ukishindwa jua ndo unapotea mazima.
 
Wewe Shida yako Nini Ngoja Wafu Wazikane, UKAWA Na Lowassa Ni Mbele kwa Mbele Hadi Magogoni.
 
Utegemee nini zaidi yahali mpya, nguvu na kasi mpya=Maisha bora kwa kila mtanzania? Au ali zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi? Sasahivi ni SITAWAANGUSHA!! Nasisi tumo tu kama matutusa. Nadhani huwa wakikaa pembeni kupiga story zao huwa wanasema haya matanzania yamitindio yaubongo....nk.

Kilamwaka tunayadanganya wala hayastuki yanatuchagua tu. Teh teh teh teh!!!
 
Back
Top Bottom