GE2025 Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama huu uchaguzi bandia utafanyika chumbani kwa mafisadi sawa lakini kama ni mtaani tutazuia.

Hakuna uchaguzi mtaani utakaofanyika ole wake mtu apige kura kwenye uchaguzi ambao hakuna hakikisho la tume huru na upinzani wenye nguvu umezuiwa kwanini na sisisi tusizuie ?
 
Kimama amepagawa ile mbaya, lkn hana namna. 29 atake asitake, ndiyo mwisho wa ushungi kukaza ikulu.
 
Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa,

Wahuni wasifikiri sisi tutaenda kuremba remba, tutakula nao sahani moja jiwe kwa jiwe mpaka mabadiliko.

Hakuna uchaguzi utakao fanyika
Shida mshaweka taharuki huku mtaani watu wazima vile vizee vipiga kura vishaanza patwa na uoga kuna clip inatembea akionekana raia na wino watu wanamalizana nae..

Jamani mbona haya maandamano ishakua ni balaa tena?
 
Unaita uchaguzi feki ina maana huoni nyomi la kijani na njano nchi nzima? Hizo ndio kura mjuba, utawezaje kuzuwia wakati huna majeshi?
 
Huu ujasiri wa kinafiki mlionao mtandaoni laiti kama mkiwa nao robo tu huko mtaani basi watu wawili wasingeweza kuteka mtu mbele yenu watu 50
 
Leo Heche kanyakuliwa na manjagu mbele ya makamanda uchwara hivi hivi tena mchana kweupee. Halafu eti oh tunangoja maandamano tarehe ishirini na tisa duh😎

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa,

Wahuni wasifikiri sisi tutaenda kuremba remba, tutakula nao sahani moja jiwe kwa jiwe mpaka mabadiliko.

Hakuna uchaguzi utakao fanyika
Amiri jeshi mkuu ashasema uchaguzi upo,wewe kenge maji unaunuzuije?acha fuse kijana!
 
Unaita uchaguzi feki ina maana huoni nyomi la kijani na njano nchi nzima? Hizo ndio kura mjuba, utawezaje kuzuwia wakati huna majeshi?
Wewe unaishi wapi asiyejuwa huo umati ni wa akina nani?
Kama unazungumzia masanduku ya kura kujazwa na kura FEKI kwa kielelezo cha umati huo wa mikutano, elewa kuwa hakuna hata sanduku moja litakalohesabiwa takataka hizo zilizomo ndani yake.
Yote hayo yatachomwa moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…