Tutanue ubongo hapa

hapo mkuu
 
Kwenye watoto wanne ambao umri Ni zaidi ya miaka 5 na huyo mama mjamzito yupo hapo maana huyo binti japo mjamzito kwa wazazi bado Ni Mtoto wao tu, Mtoto kwa wazazi hakui
angesema mtoto mmoja mjamzito kama ni beki tatu je ahahaa au mke wa pili?
 
angesema mtoto mmoja mjamzito kama ni beki tatu je ahahaa au mke wa pili?

Huyo Ni mwanae Mwita ila anaujauzito swala la utoto kwa mzee Mwita liko pale pale, labda nikuulize ulipozaa au utakapozaa Baba na mama yako ndiyo mwisho wakukuita kuwa Ni Mtoto wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…