Tutanue ubongo hapa

Mzee Mwita yeye yuko busy kufyatua tu hata majina ya wanawe wakati mwingine huyasahau.
🙂🙂🙂
hahahaa anatimiza maneno ya mukulu wa magogoni!!!
😉😉😉
 
Reactions: BAK
Kwa nini Mzee mwita asije tu kutupa ukweli? Yeye ndiye anajua familia yake, anajua idadi ya chandarua alizonazo, na wangapi hawatumii chandarua..!! Mzee mwita mbona unatufanyia hivi?
 
Kwa nini Mzee mwita asije tu kutupa ukweli? Yeye ndiye anajua familia yake, anajua idadi ya chandarua alizonazo, na wangapi hawatumii chandarua..!! Mzee mwita mbona unatufanyia hivi?
mkuu unataka kuleta habari za kufind x kwa kuizungushia duara pale ilipoandikwa..?..lol
btw, jaribu kuleta majibu basi
 
Watoto chini ya miaka mitano= 2,
Watoto zaidi ya miaka mitano=4,
Mjamzito yupo kwenye idadi ya watoto 4,
Mke =1,
Mzee mwita
Jumla familia inawatu 8,
Waliotumia chandarua Ni mjamzito na Mtoto mmoja wa chini ya miaka 5, na mzee Mwita na mke wake na Mtoto mwingine wa chini ya miaka 5 walilala pamoja,
Kwa hiyo ambao hawakutumia chandarua Ni watatu
 
ngoja nijalibu chini ya miaka mitano=2
ngoja nijaribu
chini ya miaka 5=2
zaidi ya miaka 5=4
mjamzito=1
mke1
mzee mwita1
kwahyo hapo wanakuwa watu 9
waliotumia net ni wawili
 
mtoto hajazaliwa anahesabiwa kweli? au kihesabu anahesabiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…