Dr. Magu anaendelea kujitetea kuwa yeye ni masikini wakati kuna uzi hapa ulieleza ukwasi alionao na sijawahi kuona ukanushaji wenye maana. Nashauri hapa tuuachane na siasa mufilisi za 'kimasikini' maana mtu kama amefanya kazi kwa miaka zaidi ya 30 tena katika managerial posts alafu bado ni masikini ni wazi hata tukimpa nchi ataifanya masikini pia!
Lakini anachojidanganya ni kudhani kuwa wanaojiuzuru ni wale wanaobeba viroba na sandarusi tu kumbe hata madudu yakifanyika chini yako inabidi kuwajibika.