Tutamlinda prof assad kwa garama zote ukawa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Aijalishi dini waka kabila kila mtu ana haki.na.wajibu wakjfanya kazyake bila kuingiliwa na yoyote

Hivyo basi ripoti ya cag ilioonyesha uchafu mzima wa wizara ya ujenzi itaheshimiwa na inatakiwa kufanyiwa.kazi mapema

Ukawa kwa moyommoja ama tushinde ama ccm ishinde tutakulinda na ripoti yako thtahakikisha tunaifwatilia bungeni na.kufanyiwa kazI

VIVVA PRF ASSAD VIVVA LOWASSA

VIVA UKAWA
 
umesikia anataka kuzuliwa na watu? uto alivyokuwa anaibua madudu ya serikali amewahi kuzuliwa na mtu?
vijana tuache vijimambo
 
Dr. Magu anaendelea kujitetea kuwa yeye ni masikini wakati kuna uzi hapa ulieleza ukwasi alionao na sijawahi kuona ukanushaji wenye maana. Nashauri hapa tuuachane na siasa mufilisi za 'kimasikini' maana mtu kama amefanya kazi kwa miaka zaidi ya 30 tena katika managerial posts alafu bado ni masikini ni wazi hata tukimpa nchi ataifanya masikini pia!
Lakini anachojidanganya ni kudhani kuwa wanaojiuzuru ni wale wanaobeba viroba na sandarusi tu kumbe hata madudu yakifanyika chini yako inabidi kuwajibika.
 
Kamanda Assad kaomba msahama CCM!

Kadai alikosea hesabu za deni la Taifa
 
Dr. Magu anaendelea kujitetea kuwa yeye ni masikini wakati kuna uzi hapa ulieleza ukwasi alionao na sijawahi kuona ukanushaji wenye maana. Nashauri hapa tuuachane na siasa mufilisi za 'kimasikini' maana mtu kama amefanya kazi kwa miaka zaidi ya 30 tena katika managerial posts alafu bado ni masikini ni wazi hata tukimpa nchi ataifanya masikini pia!
Lakini anachojidanganya ni kudhani kuwa wanaojiuzuru ni wale wanaobeba viroba na sandarusi tu kumbe hata madudu yakifanyika chini yako inabidi kuwajibika.
Ulikuwa sawa kabisa
 
Aijalishi dini waka kabila kila mtu ana haki.na.wajibu wakjfanya kazyake bila kuingiliwa na yoyote

Hivyo basi ripoti ya cag ilioonyesha uchafu mzima wa wizara ya ujenzi itaheshimiwa na inatakiwa kufanyiwa.kazi mapema

Ukawa kwa moyommoja ama tushinde ama ccm ishinde tutakulinda na ripoti yako thtahakikisha tunaifwatilia bungeni na.kufanyiwa kazI

VIVVA PRF ASSAD VIVVA LOWASSA

VIVA UKAWA
Mavi tu haya ulioleta hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom