Jovegg Member Joined Nov 17, 2011 Posts 64 Reaction score 8 Aug 13, 2012 #1 Jamani wa tanzania jukumu la kufanya mabadiliko hayapo mikononi mwa mtu yoyote zaidi ya wewe mtanzania mwenyewe. Hulka ya kusubiria politicians ndo watu ongelee, tutaendelea kulalamika mpaka dunia ifike mwisho. Tusiwe free riders jamani. Take action
Jamani wa tanzania jukumu la kufanya mabadiliko hayapo mikononi mwa mtu yoyote zaidi ya wewe mtanzania mwenyewe. Hulka ya kusubiria politicians ndo watu ongelee, tutaendelea kulalamika mpaka dunia ifike mwisho. Tusiwe free riders jamani. Take action