Huu msemo umeshanikinahi wa Upinzani (CHADEMA) nilianzia kuusikia 2005, kwamba tutakutana Oktoba 2005, ikaja na ikapita, ukahamia tutakutana oktoba 2010 ikaja na ikapita sasa hivi tena umerudia umaarufu wake tutakutana 2015 ndiyo
wa CCM, sasa sijui baada ya hapo watahamia 2020, ngoja tusubiri!
Huu msemo umeshanikinahi wa Upinzani (CHADEMA) nilianzia kuusikia 2005, kwamba tutakutana Oktoba 2005, ikaja na ikapita, ukahamia tutakutana oktoba 2010 ikaja na ikapita sasa hivi tena umerudia umaarufu wake tutakutana 2015 ndiyo mwisho wa CCM, sasa sijui baada ya hapo watahamia 2020, ngoja tusubiri!

Huyo hajielewi mbona katika miaka yote hiyo chadema wameihenyesha sana Ccm? Unadhani sababu ya kina kinana kutokaa ofisini na kulala na wakw zao na kulazimika kuzunguka nchi nzima wanapendaJe, huo msemo wao umekudhuru? Kama sio basi kaa kimya milele.
Huyo hajielewi mbona katika miaka yote hiyo chadema wameihenyesha sana Ccm? Unadhani sababu ya kina kinana kutokaa ofisini na kulala na wakw zao na kulazimika kuzunguka nchi nzima wanapenda
?
Ulishawahi kuona Ccm wanafanya hivyo kabla? Chadema imekuwa tishio kwa Ccm baada ya Slaa kufukua mambo ya epa. Kipindi hicho wabungevwa upinzani walikuwa watano tu. Kimsingi cjadema imeanza kuwika kuanzia 2010. Kabla ya hapo walikuwa nccr na Cuf. Pamoja na hayo kwa muda mfupi chadema imechangamsha sana siasa zetu ma kuvutia wengi kufuatilia. Sasa 2015 na baadaye km hamjaiba kura kwa kutumia vyombo vya dola mtaisoma namba