Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Huu msemo umeshanikinahi wa Upinzani (CHADEMA) nilianzia kuusikia 2005, kwamba tutakutana Oktoba 2005, ikaja na ikapita, ukahamia tutakutana oktoba 2010 ikaja na ikapita sasa hivi tena umerudia umaarufu wake tutakutana 2015 ndiyo mwisho wa CCM, sasa sijui baada ya hapo watahamia 2020, ngoja tusubiri!