Weka akiba ya maneno mkuu, siasa sio chuki.
Sidhani kama ni sahihi kuzungumza nafsi za wengine inapofika suala la kifo.
Wewe unadhani ndugu jamaa na marafiki wote wa marehemu ni chadema tu?
Kifo hugusa watu wote bila kujali imani na itikadi zenu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
acha hizo ndugu,kifo siyo sawa na ujinga wa kisiasa,kifo siyo ushabiki wa kisiasa,kifo hakina ccm wala ukawa wala tlp.
Maneno mengine jichunge,jamaa anandugu zake na labda wamo hata humu Jf,usije kuwajengea chuki na vyama vingine,ccm yafurahi ili iweje sasa.
Acha hizo.