Tutakukumbuka daima milele

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Mu-hali gani wana Jamii Forums..

Ilikuwa tarehe 15/10/1997 majira kama haya nilipompoteza baba yangu mpendwa.

Ni pengo lisiloweza kuzibika milele....

"Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina la Bwana libarikiwe"



Mkuu BAK naomba uniwekee ile Track "Tutakukumbuka daima milele" ingawa sijui iliimbwa na nani!!!!

UPDATED: 15/10/2014

"Ilikuwa sekunde, ikawa dakika, ikawa saa, ikawa siku, ikawa wiki, ikawa mwezi, ikawa mwaka na sasa ni miaka 17 toka ulipotutoka"

Tunakukumbuka na hatutakusahau kwa mema yote ulikuwa kuwa ukitutendea baba yetu mpendwa.
 

Tuko pamoja katika kumkumbuka na kumuenzi daddy..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana charminglady Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Nyimbo nilizoziona utube zenye title kama hiyo zinahusiana na mapenzi.

Mkuu asante kwa response... Huo wimbo ni bongo fleva ila sikumbuki aliuimba nani?

Kama sikosea unaimbwa hivi....
"Tutakukumbuka daima milele iko siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu"

Labda hauko kwenye youtube!
 
Last edited by a moderator:
my dad died when I was 4...I never knew how it hurts until wen I reached a certain

age of my Life...It is one of my worst feeling ever..I could understand how it feels, the gap,

the everything without him
 
Mkuu asante kwa response... Huo wimbo ni bongo fleva ila sikumbuki aliuimba nani?

Kama sikosea unaimbwa hivi....
"Tutakukumbuka daima milele iko siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu"

Labda hauko kwenye youtube!

Pole sana charminglady Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Nyimbo nilizoziona utube zenye title kama hiyo zinahusiana na mapenzi.

Crazy Gk Ft TID - Tutakukumbuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…