tutakuja kuuana humu.

Kuwa na roho ngumu kama mimi, acha tabia za hit and run, kuwa na mmoja tu then stop commiting suicide. Kama vipi tuambie tuite wazee tuwasuluhishe. Kumbuka option ya mwisho kuna kuchinja kondoo na jamvi la wazee. Ova
 
Bishanga
Kelele za chura hazimnyimi ng'ombe kunywa maji!
 
Last edited by a moderator:

Jamani wahusika njooni mjibu tuhuma zenu mapema msisababishe bishanga matatizo buree wengine hatautaki kuwakosa jamani!!!!
 
Jamani wahusika njooni mjibu tuhuma zenu mapema msisababishe bishanga matatizo buree wengine hatautaki kuwakosa jamani!!!!
Hapa hakuna mtuhumiwa sema huyu Bishanga ndio mtuhumiwa tena kwa kutupa vitisho bila sababu!
Mi nimempenda The secretary nimemwaga sera zimekubalika mtoto kaingia mikononi so nina kosa Shixi889 ?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga Bashaija nini tena.? Mbona mikwara asubuh asubuh..
Naona biasnahara yake ya Ndizi imedoda ameamua kuja kutumalizia hasira kwetu! data achana nae huyu mzee hana lolote
Kwanza mwambie akumbuke Mi ndio Mod wa Chit Chat sichelewi kumla ban kama nilivyomla Asprin oooooh
 
Last edited by a moderator:
Nakuhurumia! Jambazi unamtishia manati?
Usipeme maji ya bahari kwa kidole! Kama unahitaji nikuokoteshe makopo ukiwa umevaa nguo za kuogea, endelea!
Kaka Judgement nimeamini kweli we umepevuka na unastahili kupewa jukumu la kuongoza jamii....!
Wazo lako kwa Bishanga ni kweli kabisa mwache aendee kupima kina cha bahari kwa miguu aone moto wake!
Mwambie mi ndio b52 mwenyewe pia mwambie Asprin akiendelea kuniwekea kiwingu kwa The secretary nahamia kwa cacico na Yummy coz nimerudi kivingine sasa!
Sitaki mchezo meeeeeeen!
 
Last edited by a moderator:
Aisee!!!pole zake kumbe mwenye nguvu mpishe...!!!!!
Tatizo haka kazee kanataka kumiliki mtoto mdogo....mbichi ( The secretary ) wakati vijana bado tupo.....kwanini atuzeeshee binti wadogo bure? Shixi889 mwache akauze ndizi Tandale sokoni ndo apate akili!

BTW Asprin naomba uje umkague Shixi889 haraka nahisi hajakaguliwa bado!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…