Tutaje Majumba ya Watumbuliwa

Tutaje Majumba ya Watumbuliwa

LimaAlfa

Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
37
Reaction score
19
WanaJF,

Wakati sasa umefika tuweke hadharani mali za haya majipu ambazo UNA HAKIKA ndimo kodi zetu zilimofukiwa.

Wewe unawajua kwani unayaona makeke na majigambo yao mtaani hata bar.

Wamjua elimu yake na muda wake kazini ambao hauendani na mali alonazo.

Kwa kufanya hivyo tutakuwa tunarahisisha kazi ya kuzisaka kabla hawajazitawanya.

Kuna mijengo ikitajwa na kufuatiliwa ita -reveal jipu lililojificha. Kuwa mzalendo ili heshima iende kwa anayestahili.
 
Du haya wanakuja wanaojua bana mimi sitaki kuwa mnafiki
 
Wana JF wakati sasa umefika tuweke hadharani mali za haya majipu ambazo UNA HAKIKA ndimo kodi zetu zilimofukiwa. Wewe unawajua kwani unayaona makeke na majigambo yao mtaani hata bar. Wamjua elimu yake na muda wake kazini ambao hauendani na mali alonazo. Kwa kufanya hivyo tutakuwa tunarahisisha kazi ya kuzisaka kabla hawajazitawanya. Kuna mijengo ikitajwa na kufuatiliwa ita -reveal jipu lililojificha. Kuwa mzalendo ili heshima iende kwa anayestahili.

Mkuu anza wewe, mimi nitafuata.
 
Back
Top Bottom