Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Tunafute undani wa vyama hivi, kila chama katika nchi kiliko maana hivi ni vyama rafiki sana na CDM tusije tukajikuta tunaangamia:
1. Conservative-Uk
2. The center Party-Sweeden
3. Kokomus-Finland
4. NPP-Ghana
5. DP-kenya na
6.kile cha Ujerumani
Aidha ningependa kujua International Democrat Union ni nani, yuko wapi na anafanya nini

Kwahiyo kazi tunayo kuhusu hiki chama cha Chadema? Asante kwa kutufungua macho,je? Hicho chama cha Ujerumani kikoje. Nalog offNinachojua kuhusu hiyo namba tano ni kwamba ni chama cha kikabila na kinachoamini kwamba watu wa kabila fulani ndiyo wenye haki na rasilimali za nchi na nafasi za uongozi wa kiserikali.