Tutafute pesa

Mzuri mmoja tu hapo! Huyo black
 
mbona Mimi sina pesa sina sula nzur kivile lakin ninadem mkali wa kisukuma ngoma university must mzr kuliko hata hao.tena ndio kwanza yeye ndio annitoa hela akipata bom. kikubwa nikujikubal2 utapendwa hata kamahuna pesa

Bado haitoshi, kama mwanaume inabid utafute pesa . Hakuna guarantee ya kukaa na huyo dem milele, kuna cku utagundua pesa inahitajika, sasa hivi c unapewa na dem wako, huwez kujua
 
Bado haitoshi, kama mwanaume inabid utafute pesa . Hakuna guarantee ya kukaa na huyo dem milele, kuna cku utagundua pesa inahitajika, sasa hivi c unapewa na dem wako, huwez kujua
hata kama mkuu. Lakin mapenz sio lazima pesa mbona wapo wenyepesa nying2 wanaachwa Kila siku uku kitaa pesa niziada chakwanza nikujikubal utapendwa bila hata pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…