unakuta mtu ooh mm sipend kufuga pakaπ sasa chumba kimoja kina
mkaa,madumu,majiko,majivu,feni,seapiano,kitanda,kabati,madodiki ya kuogea,ndo ya chooni sasa paka atakaa wapiππππ
Kwangu mie sio tu mpenda pesa, bali hata yule anaevaa kama wale wadada wa kimboka i.e tako moja nje, wale wanaozungumza kiswangish, sanasana kuikazia konsonanti r. Bila kuwasahau wale wanaosuka rasta za kumwagika makalioni

Kwa akili yako. Hapo ndipo ulipofikia. Ila nikwambie tu hata mimi nilikuwa naamini hivyo mwanzo. Till recently nkaanza kupata pisi za kwenda na hazina shida kabisa na pesa yangu.
Kuna tofauti kati ya aliye na pesa na aktamka maneno haya na asiyekuwa na pesa mzee ukisema "pisi hazina shida kabisa na pesa yako" inamaana pesa ni unayo hapo na huyo manzi just in case akawa na shida na kihasi Cha pesa unaweza mpa na mpaka kufikia Happ pia unaweza kuwa ushawai kumpa pesa ila ile kuto kuomba yeye ndio unasema Hana shida na pesa yako lakini Hilo ni different stories kwa asiye na pesa kabisa
unakuta mtu ooh mm sipend kufuga pakaπ sasa chumba kimoja kina
mkaa,madumu,majiko,majivu,feni,seapiano,kitanda,kabati,madodiki ya kuogea,ndo ya chooni sasa paka atakaa wapiππππ
#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka dakika hii nawaza nimjibuje.