Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,335 May 4, 2012 #1 Tutafika tu africa Attachments watu bana1.jpg 51 KB · Views: 155 watu bana.jpg 34 KB · Views: 144
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 May 4, 2012 #2 Tutakuwa tupo nyang'anyang'a tukifika huko unakodhani tutafika comrade,kama yule star wa move ya Tears of the Sun Brues Wills pale mwisho wa move
Tutakuwa tupo nyang'anyang'a tukifika huko unakodhani tutafika comrade,kama yule star wa move ya Tears of the Sun Brues Wills pale mwisho wa move
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,073 Reaction score 6,909 May 4, 2012 #3 hiyo toto sijui imebeba nini jamani!!!!!!!!!!!!! naomba mnisaidie
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 May 4, 2012 #4 Duuh safari ni ndefu kweli
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 707 May 4, 2012 #5 Huyo wa pikipiki ni problem solver. Huyo wa kubebwa nadhani anatamani kuwa kwenye jeneza. Nadhani ni Ghana huko ndiko bado wanaendeleza upuuzi huo, eti mfalme.
Huyo wa pikipiki ni problem solver. Huyo wa kubebwa nadhani anatamani kuwa kwenye jeneza. Nadhani ni Ghana huko ndiko bado wanaendeleza upuuzi huo, eti mfalme.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 May 4, 2012 #6 Kufika tutafika japo siyo leo wala kesho nikimaanisha ni safari ndufu sana kwani hata demokrasia bado hatujaweza kuikuza na kuitetea!!
Kufika tutafika japo siyo leo wala kesho nikimaanisha ni safari ndufu sana kwani hata demokrasia bado hatujaweza kuikuza na kuitetea!!