Tutafakari kauli hii ya Mbowe

Hiyo ni kauli ya mwanasiasa na imetolewa kisiasa sasa wewe unataka nini? Unafikri kama kamanda Mkumbo angetenda haki Lowassa angepoteza muda wote huo hapo Mwanza?

Job K;
Nashukuru umeielewa kauli ya Mbowe. Pia, mahakamani hakuna jinsi ya kumburuza huyo Kamanda wa ccm ila njia ni kihivyo tu.
Aeleze huyo aliyemtuma kuusumbua mwili wa marehemu na kuuunganisha na kipindupindu.
 
Hiyo ni kauli ya mwanasiasa na imetolewa kisiasa sasa wewe unataka nini? Unafikri kama kamanda Mkumbo angetenda haki Lowassa angepoteza muda wote huo hapo Mwanza?

Who is Lowasa?
 
Job K;
Nashukuru umeielewa kauli ya Mbowe. Pia, mahakamani hakuna jinsi ya kumburuza huyo Kamanda wa ccm ila njia ni kihivyo tu.
Aeleze huyo aliyemtuma kuusumbua mwili wa marehemu na kuuunganisha na kipindupindu.

Mbona mnabadili maneno ya Mbowe?
 
Lowassa bado anapokea 80% ya mshahara wa Majaliwa.

Shida ni gharama ya Lowassa au kitendo cha kuwazuia kufanya mazishi?
 
kwani ww hujui kwanini lowasa alikaa mwanza siku 8 bila huyo RPC kutoa tamko la kiboya unadhani angekaa siku hizo?
 
Yote mawili ni sawa, gharama na mawazo, acha ukilaza
 
Nyamaza haikuhusu hii sema kuhusu kasi ya rais wenu
 
Who is Lowasa?
He is a former prime minister of this lovely country and again a president elect of this country who was not declared a winner by the ccm's NEC!
 
Kwani Mwanza ni pabaya hapafai kukaa mtu kama lowasa au! Mnaidhalilisha mwanza namna hiyo
 
Mods unganisha huu uzi na ule wa mazishi Paw Invisible

Tulia uzi huu ni tofauti na ule....na una lengo mahususi.
Paw na Invisible tafadhali naomba muuache huu uzi.....

Waziri mkuu...

Lete tafakuri yako juu ya kauli yake hii ya kibepari
Tafakuri ipi wakati umeshaipangua? Kachukue posho yako kwa kazi nzuri ya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…