Tutaendelea kufanya vibaya kwenye mashindano ya kimataifa

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,163
1,308
Tanzania ina historia ya kufanya vibaya kwenye ushindani wa michezo mikubwa ya kimataifa na jumuiya ya madola.Huwa hutuishiwi sababu na mara kwa mara sabubu zetu huwa zinafanana miaka nenda miaka rudi.

Nchi ambazo zinathamini michezo sasa hivi zimeshajuwa majina ya wanariadha wao watakao wawakilisha kwenye michezo ya olimpiki Brazil.

Ni juzi tu mashindano ya shule za sekondari serikali imeamua kuyafuta kwa kisingizio cha fedha za mashindano kupelekwa kwenye madawati, Kwa hiyo vijana wetu wa sekondari wemeshindwa kuonyesha vipaji vyao .

Huu ni ubabewa serikali yetu kuonyesha haijali michezo , na ndio sababu tunakuwa kichwa cha mwendawazimu siku zote
 
Back
Top Bottom