TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Watawezaje kulifanya taifa letu kuwa la kujitegemea wakati wanakumbatia mafisadi. That is impossible!!! Kwa nini watanzania mnadanganyika kirahisi hivyo?Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
Watawezaje kulifanya taifa letu kuwa la kujitegemea wakati wanakumbatia mafisadi. That is impossible!!! Kwa nini watanzania mnadanganyika kirahisi hivyo?
Tusome na kujadili.Sisi ni sehemu ya haya.
madrassa al sul
Najua unaiogopa Ilani Ya CCM na mafanikio yake.Kwa nini?
kwa sababu ya madrassa al jihad
very good indeed... ndio maana tunaelekea kuigeuza kigoma dubai na daraja la dhahabu kigamboni... watanzania kwa document ni balaa, kwa action ni mawaaaa tupuKutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
M S in action
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015

[/B][/FONT][/SIZE][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
[/SIZE]
Tatizo inaone kana ni wale wanaoshabikia bila kujua CCM imetufikisha wapi? mpaka leo Tanzania ni watatu kwa umasikini halafu mgojwa wetu anaulizwa tatizo ni nini anasema hajui kwanini Tanzania ni Masikini...kama mtu hajui tatizo lako atakusaidia nini....Tuungane tuwaondoe mafisadi tarehe 31-10-2010....Tusome na kujadili.Sisi ni sehemu ya haya.
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
50 years is more than enough, waachie ngazi wengine wasongesheKutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
@ Tandaler one: Tujadiri: primary milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
Hvi haya mahesabu ya mamilion hayazumngumziwi kwa upande wa sekondari? Tatizo la kufalisha liko wapi? Kwa walimu... watoto wenyewe...Wazazi au sera za CCM ambazo zinafanya wanaongia primary kuwa mamillion na wanaongia secondary ni ma-laki?
"Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea"
Jukumu hilo watalikamilisha lini? Mbona bado tuko kwenye dimbi la uchumi ulio nyuma na tegemezi" au mpaka Mungu arudi kutukomboa ndo itakuwa hitimisho lake?