Tusiwe Washabiki wa Matukio

Tusiwe Washabiki wa Matukio

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Wana wenzangu tusuruhusu matukio kuyashabikia hasa kuwa washabki wa baadhi ya matukio .
Kama ni ushabiki basi shabikia yoote sio machache tuu ndo uyashabikie kwa sababu zako na maslai yako.
Tunakumbushana tuuu.
Kwan tumekua wakuyumbishwa na matukio
 
Sasa matukio kama yap kama dem wako katembea na rafk yako hlo nalo2kio ~~~sema aina la 2kio mapenz,siasa au uchum.n.k
 
Back
Top Bottom