Hapana Mkuu tusiwatume kufanya hayo sababu tunapaswa kuwalea na kuwafundisha kama wadogo zetu... lkn pia tusiwanyime haki ya likizo ya kwenda kusalimia majumbani kwao...
Kama ni mimba anaweza pewa huko huko ndani ulipomfungia aidha na mume au mtoto wa kiume au housboy kama unaye....