Tusiwape UKAWA yasije yakawakuta kama zambia

Mada haijasomeka vizuri,ameshindwa kutofautisha chama pinzani na Chama tawala.Chama kikishaingia madarakani huwezi kukiita Pinzani tena na chama kikishatoka madarakani hicho ni Pinzani.
Hata CCM mkitoka madarakani mtakuwa wapinzani.Mfano mzuri sie huku Jimbo la Iringa mjini CCM ni wapinzani tangu 2010.
 
Back
Top Bottom