Tusitegemee makubwa toka kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusitegemee makubwa toka kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Oct 31, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  kwanza naupongeza umaridadi na umaarufu wa CHEDEMA.chadema wananafasi kubwa sana ya kushinda uchaguzi mkuu 2015.Na nilazima kuwe na long term plan. ila pia hatunabudi kukubali kuwa itawachukua muda sana kuubadili na kuuvunja mfumo wa kiccm ulipo kwan mbali na sheria waCCM watakua wapinzani sana katika kutaka kukwamisha mambo ndan ya Tanzania.Pili watanzania wengi wanapenda matokeo ya haraka na wanawaachia viongozi utekelezaji,hii ni changamoto kwa CHADEMA watakapopata ridhaa ya wananchi.Sina pia imani kubwa kwamba CHADEMA ni malaika, hivyo kutaweza kuwa na personal interests wakati wa utendaji na hii kukwamisha utekelezaji wa ahadi zao kwa wananchi.Sera zao za uchumi pia zinaweza kuwa mwiba kwa ushirikiano wa kimataifa kwenye vipengele vya uwekezaji na hivyo kuweza kuvunja uhusiano.Ila pia zinaweza kuwa vivutio kama kweli watakua watendaji wazuri ktk kutekeleza sera na rasilimali za kimaendeleo. chadema wataweza kutana na ugumu sana katika utendaji wao wa miaka 5 ya awamu ya kwanza na iwapo wananchi hawataelimishwa vyema tangu sasa basi tusitegemee makubwa ndani ya uongozi wao.
  NAYASEMA HAYA MAPEMA ILI YAFANYIWE KAZI.
  'fikra huru kwa Taifa langu' Ukihisi hisia za hasira, kuhusu ukweli huu basi pita tuu.
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,834
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Mtoa Mada Inaelekea Mawazo Yako Yanaweza Kuwa Mazuri Ijapokuwa Hatujua Motive ya Hoja Yako!! Inabidi Ukumbuke katika Kizazi cha binadamu mabadiliko ni Kitu Muhimu sana!! Hata NTC Ya libya sio kuwa mambo yao yatakuwa super just from Start!! They need to work Hard!! Harder and Harder!! Hapa TZ Magamba Wameridhika sana!! Na uwezo wao wa Kufikiri nadhani umekwisha na imebaki mazoea!! Ili kuleta mabadiliko lazima Political wheel ya Nchi Ibadilike!! Tusitegemee Makubwa kwa Utawala uliopo sasa bila Mabdiliko!!
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  CCM ikishaondoka madarakani sidhani kama itaonekana tena kwenye ramani ya kisiasa.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  This glass is half empty.....ndo nyie sasa.
  Unaishi kwa wasiwasi tu, huoni jema wala you dont hope for a better tomorrow...unawasiwasi kama panya buku.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Sounds so unschooled !
   
 6. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Kinachofanywa na chadema ni kuingia madarakani kwa njia yoyote hata kwa kuwadanganya watz kuwa tukiwachagua wao bila hata sisi kufanya kazi kwa bidii tutapata neema ya maendeleo.2015 cdm bado watatoka patupu.yangu macho nanyi mtaona.
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Chadema wakichukua nchi mfuko wa Saruji utauzwa Sh500 "Dr. W. Slaa"
   
 8. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  najuwa mabadiliko yatakuja ccm ikitoka madarakani,, lakini ni mabadiliko ya kisiasa tuu, na cy mabadiliko ya kiuchumi, hamuwezi kuamini hili lakini ndy itakavyokuwa,, chadema ni mahili katika kukosoa na wamejingea imani sana kwa wananchi maana huko nyuma hatukuwa na utaratibu wa kukosoana pia kumbukeni kukosea ni rahisi sana kuliko kutenda,, na kukaa kimya kwa MH. Rais kuwewajengea upinzani mazingira mazuri kujitangaza,, lakini inavyooneka mnaweza kuingia madarakani na wananchi wasitegemee sana mabadiliko.... Nafikiri ni wakati mzuri sasa Chadema kuanza kujiweka sawa na kujenga mazingira ya kutawala,, na wasitegemee staili wanayoitumia kupata wafuasi na kuungwa mkono na wananchi ndiyo watakayoitumia wakiwa madarakani ITAKULA KWAO...watatupwa nje na kupotea ktk Ramani ya SIASA..na watambue hii nguvu ya Umma haitakuwa mikononi mwao tena....nasema hy kwa kuwa Nimeona mapungufu yao mengi kuelekea Chaguzi zijazo ingawa wananchi tumewaamiiini sana.
   
 9. bmx

  bmx Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mabadiliko kwanza,,
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ignorance plus unschooled are the enemy of development
   
 11. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yanakuja,, ila mzikiwake ni balaa na ndipomtakapogudua kumbe maharage cy mboga.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Great Thinker huyo uwanjani, hongera mkuu!

   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani kuna mategemo gani kwa kuwepo ccm
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mtu hatari sana humu JF unatumia mgongo wa JF kuanzisha Saccos kufanya utapeli wako tumestuka
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ignorance and illiteracy causes hate preaching

  JF - HATE PREACHER
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh! wanatafuta mitaji kwa kutumia njia haramu (ufisadi ni tabia)
   
 17. f

  firehim Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unayo ya sema huenda yakawa kweli au si kweli kwani hizi ni hisia tu. Hata nyerere alivyo kabiziwa nchi mwaka 1961 wazungu hawakumwamini. Usipende kuwa mtabiri kwa vitu vilivyo mbele yako. Tunawapa nchi baadae tunaondoa tunaweka wengine. Hii ni nchi ya watanzania wote
   
 18. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  umaskini wa fikra ni umaskini mkubwa kuliko aina yoyote ya umaskini, ni bora ukose elimu ,pesa n.k kuliko uwe maskini wa fikra........tafakari.
   
 19. y

  yaya JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, viongozi wetu na hususan wanaotutawala kwa sasa wangekuwa kama Mwl. Nyerere, nadhani Tanzania ingepiga hatua sana kwenda mbele kimaendeleo. Yeye alipobaini kwamba uwezo wake wa kuiletea maendeleo Tanzania umefikia kikomo akaamua kung'atuka. Tulionao licha ya kubaini dhahiri kwamba wameshindwa hawako tayari kung'atuka walau hata kupitia sanduku la kura. Uzalendo umewatoka, ubinafsi umewatawala. Nina imani CHADEMA wamejipanga kutuongoza na si kututawala punde watakapopata fursa hiyo.
   
 20. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ccm ime2danganya mangapi? Watanzania 2kikupari mfumo wa vyama vingi na kupadirisha mfumo wa chama kimoja maendeleo yata2fikia haraka sana. Nakumbuka hata Ttcl zamani ilikuwa na mizengwe kibao baada ya kuingiza ushindani mambo yakawa powa saizi 2na ongea na nusu sekunde. Ushindani huleta maendeleo 2tafute ushindani nchi ye2 iendelee na kuöndoa mfumo uzee uliopo sasa.
   
Loading...